Diamond platnumz abahatika kuhudhuria sherehe ya siku ya kuzaliwa ya bilionea kutoka nchini Ghana anaye kwenda Kwa Jina la Richard Nii-Armah Quaye ambaye ni CEO wa Quick Angels Limited. Tajiri huyu alifikisha miaka 40, ila alivyo sherehekea ungedhani ndio kafikisha 100, manake ilikua ni bonge la sherehe.
Inasemekana alimkodishia Diamond private Jet kumtoa Tanzania kumpeleka Ghana. Ata hivzo waliuhudhuria watu wengi sana maarufu kutoka nchi mbali mbali Afrika. Diamond platnumz wakiwemo wasanii wengine waliperform kwenze sherehe hii.
507trq
kgf3h7
b6b1l1
chthmt