Kwa mujibu wa Magazeti Nchini Burkina Faso, Aziz K aliomba kusafiri na Mke wake Hamisa Mobeto kwenda kuitumikia Timu ya Taifa (Les Étalons) na pia alisema Hamisa lazima alipiwe gharama zote za safari hadi Nchini Burkina Faso. Lakini Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Burkina Faso, Brama Traoré alikataa hili ombi.
Msisahau kwamba Kocha Traoré alitangaza kikosi chake kwa mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026, lakini Aziz K. hakutajwa. Timu ya Taifa ya Burkina Faso ilikutana na Timu ya Taifa ya Guinea-Bissau Machi 24, 2025
Pia tujikumbushe kidogo mwisho wa Mwaka 2024 kuna kipindi wanachi wa Burkina faso walianza kulalamika kua Aziz K. tangu aanze kutoka na Hamisa hafungi magoli kama kitambo.
Burkina Faso wapo nafasi ya 2 kwenye Kundi lao ambalo ni Group A, wakiwa na alama 11, wakiongozwa na Misri (Egypt) wakiwa na alama 12.
Haya ndio majina ya walio Chaguliwa kucheza kwenye timu ya Taifa ya Burkina Faso hivi majuzi !! Na kama tunavyo ona kwenye pich hakuna jina la Aziz K.
70wgqw