Please Note That the jobs are offered by personal individuals and they have not paid us to post for them in any way ! We are offering our platform to help those who may need this chance. Also the text explaining about the jobs is posted as it was brought to us !!
Tafadhali kumbuka kwamba kazi zote hizi zimetolewa na watu binafsi na hawajatulipa ili kuzichapisha kwa njia yoyote ile ! Tumetoa ukurasa wetu ili kusaidia wale ambao uenda ikawa wanahitaji hii nafasi. Pia maandishi yanayo elezea kuhusu kazi tumeyachapisha kama yalivyo letwa kwetu !!
JOBS /NAFASI ZA KAZI
- Kuna Nafasi ya kazi ya ndani
Mahali Mbezi beach
Familia ya Watoto watatu baba na mama
Mshahara laki moja
Ukiumwa utahudumiwa
Nipigie # 0756506161 - Natafuta msusi wa saloon awe anajua kusuka mitindo yote vizuri
Saloon ipo Dodoma
Mshahara laki 3
Kama yupo tayari kuanza ata kesho
0752139129 - Iringa Disney academy inatangaza nafasi za kazi kea walimu waliosomea early child hood anayejitoa hasa fresh graduates awe na kiingereza kizuri na awe tayari katika kukuza shule na miradi yake mshahara 250,000 chumba na chakula atapatiwa 0757250118
- Hey East, mi sitafuti kazi wala sitoi kazi. If someone is interested na mambo ya daycare, I need a business partner. I have experience about the business plus all the important equipments for teaching (books, boards, tables and chairs) Nataka mtu mwenye hela tupange nyumba tuifanye shule. As in let us share costs. Not looking for an investor but a business partner. For further communications reach me through 0652457868.
- Tunatafuta Wafanyakazi!
Je, una kipaji na uzoefu katika urembo? Jiunge na timu yetu!
NAFASI ZILIZO WAZI:
✅ Mtaalamu wa Mitindo ya Nywele Asilia (Kusuka)
✅ Mtaalamu wa Makeup
✅ Mtaalamu wa Kucha
✅ Mhudumu wa Ofisi
Tuma maombi yako kabla ya tarehe 30 Machi, 2025
📞 Wasiliana nasi kupitia WhatsApp: +255 717 343 316
📍 Eneo: Tabata, Kwa Mkuwa Bus Stop, Barabara ya Kimara Korogwe, DSM
Karibu Elly’s Beauty Parlor – Mahali unapong’aa kwa urembo! ✨ - Natafuta mdada wa kazi wa kunilelea watoto wangu awe mwenye umri asipungue 20 hadi 25 awe dini yeyote ile aichagui kabila ajue kupika na usafi pia awe msafi na mwenye kujielewa na kujitambua
Namba zangu za simu 0713759594 napatikana kigamboni - Natafuta mdada /mkaka wa salon
Iko mkwajuni,kinondoni
Namba 0616660210 - Hello Speaker,mimi nna saloon yangu ipo Tanzania-dodoma makulu natafuta mtu wa kumkabdhi awe ananiletea hesabu 12,500 kwa siku ipo sehem nzuri na n nzuri ina kila ktu
Mawasiliano yangu 0766446543 - Nahitaji mhasibu, Awe na degree au advance deploma, Salary kuanzia 250K
Niko Mwanza, Maombi ya tumwe kwa email: cranemunisi@Gmail.com - Kazi; Sales Person Anauza; Jubilee Life Insurance Wapi: Dar es Salaam Malipo; Kila Sales ina malipo yake pamoja na commission Email: salesinsurance@grva-tech.co.tz
- Hi East, natafuta msusi anaejua kusuka kilakitu vizuri, ajue kuongea na wateja vizuri na awe ana nidhamu..Office ipo Kinondoni, Dar es salaam.. 0678805091
- Hello east natafta wadada kazi ya massage ofisi ipo Kigamboni
- Tunatafuta Social media personal
Awe anajua program zote za Graphic (photoshop etc)
Awe anaweza kutumia editing program za video
Awe anaweza ku shoot video na ku edit video
Awe creative na ideas za kutosha
Awe kijana. Anayejitambua na yupo tayari kujifunza .Mshahara kwa mwezi laki nne na nusu na tutaangalia maendelea kila mwezi
Tuma email: jigardothman@icloud.com
Natafuta kazi nina uzoefu na maduka na biashara ya pombe waitress hata counter nakaa
Nipo dar tegeta
0755176446
42cqf8
Natafuta kazi, ninauzoefu wa kazi za Dukani
Namiaka24
Napatikana dar es salaam
Number:06563088155
8tycgx
4zp2xm
r8ls68