Saturday, July 12, 2025
spot_img
HomeSwahili GossipWambea wana muonea Zuchu huruma !!

Wambea wana muonea Zuchu huruma !!

Juzi kati kwenye tukio la Trace awards Clip ya Zuchu na diamond imesambaa mtandaoni, Inawaonyessha wawili hao alafu pembeni mwao wamekaa Jux na mkewe !! Jux na Priscy wanaonekana katika hali ya kupendana kwakweli walikua wamekumbatiana mikono !!

Zuchu anaonekana akiwapea jicho la kengeza na baada ya hapo nayeye kampa mwenza wake mkono amshikilie !! Diamond anaonekana pia akimbusu Zuchu !! Wambea wanasema kua Zuchu anatia aibu na hajui lini kushuka yaani hajui wapi gari limefika stage ya mwisho !! Wenhgine wana mhurumia Zuchu kwasababu anaonekana amempenda Diamond kindakindaki !! Lakini mapenzi ya upande mmoja hayaishii  vizuri !!

Kitu chengine ambacho hakikuwapendeza watu ni wakati Zuchu na Diamond walianza ku perform, Zuchu anaonekana nguo yake iliteremka na kumuwacha kifua wazi !! Ila Zuchu anaonekana kuto jali !!

Zuchu ana onekana yuko tayari kumsamehe Diamond ata afanye lipi, ata amuabishe kiasi gani !!

Facebook Comments Box
RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -spot_img

Most Popular

Recent Comments

Agness on Find Jobs here !!
Rachel on Find Jobs here !!