Hili ndilo kundi linaloogopwa na Kikwete kuliko Makundi yote , hili linaitwa KUNDI LOWASSA 😆😆
Hili kundi viongozi wao ni Hussein Bashe , DR nchimbi na hadi mkuu wa Usalama wa Taifa Mombo 😅 Huyu Mkuu wa Usalama alikuwa Msaidizi wa Nchimbi huko brazil 😆😆😆, Samia akaingizwa choo cha kiume kumteua , Na ndio aliemshauri Samia Kumrudisha Nchimbi Nchini 😆😆
Hili kundi Mfadhili wao ni Rostam , That Dude is super smart , na ni Lowassa damuuuu 😆😆
Huyu Nchimbi , Mwendazake alimuogopa hadi kumtupa Ubalozini uko Brazil !!!! Nchimbi anaijua siasa , Nchimbi ni Genius 🤣🤣🤣 ni alikuwa UVCCM so katengeza vijana Wengi sana Nchini
Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya , wakurugenzi na baazi ya wabunge wengi sana wamelekewa na Nchimbi kisiasa 😆😆😆😆 Yaani samia kaja kushtuka deal la Mombo na Nchimbi Juzi tu wakiwa kwenye Uchaguzi
Hili kundi lina hasira na Jakaya saana ,na likipata Nchi , jakaya atatembelea Magoti 🤣🤣🤣🤣 ndio Maana Jakaya atafanya lolote hata kuuwa watanzania wote ili tu Team Lowassa isishike nchi .
Ni kundi lina Pesa , Shule , Mtandao mkubwa na haliongeki kirahisi kama Kundi la Magufuli
Mfano halisi Angalia Msimamo wa Fred Lowassa Vs Jessica Magufuli 🙆🏾♀️🙆🏾♀️🙆🏾♀️ , Jessica anacheka na wauwaji wa babake ila Fred Lowassa bado yupo kwenye revange hadi kesho .
Mambo ni mengi muda ni Mchache .
Haya waheshimiwa wabunge , Mko kundi gani kati ya hayo matatu juu ?



