Friday, December 5, 2025
spot_img
HomePoliticsUfafanuzi Juu ya Makundi Matatu, Yanayoisumbua CCM

Ufafanuzi Juu ya Makundi Matatu, Yanayoisumbua CCM

Ngoja Leo nitoe Ufafanuzi Juu ya Makundi Matatu , Yanayoisumbua CCM , na bila hayo kupatana , Hakuna Raisi atakaedumu

1. Kundi la kwanza ni Kundi Kikwete , hili kundi lipo kimasilah , lipo kujiandaa na Uraisi wa 2030 na Ni kundi lenye vichwa vikubwa vitatu , Jakaya Kikwete , Samia Suluhu Na Mwamnyange

Na huyu Mwamnyange , Mkuu wa Majeshi Mstaafu , ndio mtu pekee aliefanikiwa kuligawa Jeshi la wananchi Tz .

huyu Mwamnyange nitamuelezea baadae , sababu aliajiri wanajeshi wengi sana kipindi chake , hao wako Loyal kwake .

Nakuja Na kundi la Pili post Inayofuata

Facebook Comments Box
RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -spot_img

Most Popular

Recent Comments