Unaambiwa jana Kule mjengoni kuliwaka moto kabla na baada ya speach !!! Unaambiwa Nchimbi hakubaliani na kinachoendelea na kila akipinga anaambiwa anautafuta Urais 😆😆
Jana kwa Mara ya kwanza Jumong alimwambia Nchimbi kama hukubaliani na Mimi , Resign , mbona Wenzio kina Mpango waliresign 🤣🤣🤣🤣
Sasa Nchimbi anaresign Vipi wakati kile kiti anakitaka na ni kiongozi wa Team Lowassa !!! Unaambiwa Jumong kawa Mbabe , Mjuaji , na Mbishi !!!! Hata wazee wa chama wameinua mikono , jana kachukua wazee wa pwani kawaleta kwenye kikao cha wazee na kuwalipa 20,000 kila mmoja ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Tunavoongea hivi Jumong anafatilia pesa ya Mkopo kutoka Kwa majirani ili awape wanachuo boom kabla ya tarehe 9 !!!
Wanachuo wamesign ila pesa hazijaingizwa hadi leo , na baadhi ya taasisi za serikali hazijalipwa Mishahara hadi leo , ila jumong kanunua gari linalozuia Risasi kwa pesa za watanzania zaidi ya Trillion tatu .



