Monday, December 8, 2025
spot_img
HomeSwahili GossipMwalimu Ummy vs Jumong

Mwalimu Ummy vs Jumong

Turudie umbea wa Mwalimu Ummy na Jumong

Narudia UMBEA wa siasa , Mambo yanayoendelea nyuma ya Huu uongozi wa Jumong !!!! Mimi sina chama ila nina taarifa za ndani na zisizo na chenga

Basi bwana , Ummy na Jumong Walikuwa Mshoga wa karibu sana , mashost , na jumong kipindi makamu , alimsogeza sana Ummy kwa Mwenda zake

Ummy na Jumong walikuwa wanadate familia moja , yaani ummy anatoka na mdogo mtu ambae ni Mheshimiwa Mbunge , na Jumong alikuwa anatoka na kaka wa huyo mbunge .

Sasa jumong baada ya kushika Nafasi ya Uraisi , Jumong akawa anampenda waziri wa ( H2O ), Jumong akampa mke wa waziri wa maji Ukuu wa wilaya ili asigundue kama wanashare afu akawa anazunguza na waziri wa H2O free kila sehemu wanakulana

Ummy sasa si akatoa siri kwa sgemeji yake 😂😂 na SMS za Ummy akimsema Jumong Anasaga na kukoboa zikavuja

Basi jumong akamtoa Ummy kwenye Uwaziri , akamnyima nafasi ya Ubunge na kamfreezia baazi ya Account za CRDB .

Jumong ni Bisexual , anasaga na kukoboa ila kilichomponza ummy ni Umbea na matusi aliyomsema Jumong kwenye sms zilizokamatwa .

Ummy ni mtu wa Tanga . Umbea ni suna .

Kesho nakuja na story number tatu 🤣🤣🤣🤣 hii serikali inamatukio 🙌🏾

Facebook Comments Box
RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -spot_img

Most Popular

Recent Comments