Leo naomba nimwongelee huyu Dada Rabia ambae ndio bingwa wa kurecord maongezi ya viongozi wenzie wakimkosoa Samia na kuyapeleka moja kwa moja kwenye dawati la samia 🤣🤣🤣🤣
Huyu dada kwanza alimrecord Ummy , hiyo siku ummy alikuwa anachat nae na Voice note juu
Ummy alikuwa anasema sijawahi kuona Rais zezeta kama huyu tulionae sasa hivi , yaani hata speech zake hazisomi kabla ya tukio , anazisoma akiwa tayari jukwaani
Mfano mwepesi , samia alikuwa ziara , Alhamisi akasoma speech kwamba hatutaki misaada ya wazungu , kwanza misaada yenyewe inakuja na kero nyingi na pia akasema , hivi karibuni wazungu watakuja kuomba misaada Kwetu .
Kesho yake Ijumaa samia akawa na mwendelezo wa ziara 😆😆 hii ziara ilikuwa ni ufunguzi wa daraza kwa msaada wa France , Balozi wa France alikuwepo 🤣🤣🤣 Jumong akasema , Tunashukuru sana Ufaransa kwa huu msaada , Nimeongea na muheshimiwa balozi hapa , kakubali kutukopesha kiasi kadhaa cha kujenga !!!!!! 😂😂 Mahusiano yetu mazuri ndio yanayofanya Ulaya waendelee kutupa misaada 🤦🏾♀️🤦🏾♀️ kashasahau alichoongea jana 😆😆😆
Ummy akasema kosea vyote ila usikosee kumpa Uraisi mtu mwenye shule za kuunga na mtu mwenye vyeti ya vyuo ambavyo havijasajiliwa 🤣🤣🤣🤣
Ummy kwenye hiyo Voice alisema , Tuna raisi ambae ukimuuliza hii certificate uliipataje anakwambia nilisoma miezi 6 , chuo kipo nyuma ya msikiti wa 😭😭 na ukimuuliza diploma umeipataje anakujibu nimesoma diploma mwaka mmoja mtandaoni 🙆🏾♀️🙆🏾♀️🙆🏾♀️
Ummy aliongea Mengi hadi kutoa siri za mwabana zao walioshare uko mwanza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Anyway to cut the story shot , huyu dada ndio aliyemrecord Jokate , Ummy na viongozi kibao wa CCM 😆😆😆😆
NB: aliyenipa umbea kanisikilisha VN ila kagoma kuituma ila ipo wakibisha tutaipost



