Ngoja Leo nitoe Ufafanuzi Juu ya Makundi Matatu , Yanayoisumbua CCM , na bila hayo kupatana , Hakuna Raisi atakaedumu
1. Kundi la kwanza ni Kundi Kikwete , hili kundi lipo kimasilah , lipo kujiandaa na Uraisi wa 2030 na Ni kundi lenye vichwa vikubwa vitatu , Jakaya Kikwete , Samia Suluhu Na Mwamnyange
Na huyu Mwamnyange , Mkuu wa Majeshi Mstaafu , ndio mtu pekee aliefanikiwa kuligawa Jeshi la wananchi Tz .
huyu Mwamnyange nitamuelezea baadae , sababu aliajiri wanajeshi wengi sana kipindi chake , hao wako Loyal kwake .
Nakuja Na kundi la Pili post Inayofuata



