kundi hili la pili ni kundi Magufuli
hili kundi Viongozi wao ni Khasim majaliwa , Dr mipango , Polepole , na Bashiru na kuna wale machawa kama Dotto biteko , Paul Makonda , Bashungwa Etc
Hawa wanajiita wazalendo , na Maumivu yao makubwa ni Chama cha CCM kuwa mali ya mtu binafsi
Kundi hili Mzee kiketwe alifanikiwa kuwasambaratisha , na baadhi yao walishikwa pabaya na kwa sasa ni kama halina nguvu sana ila lilikuwa limejipanga
Kikwete alimpa akili samia ya kujiunga na Kundi Magufuli ili kuwapunguza nguvu kundi la tatu Ambalo ndo kundi kikwete analiogopa 🤣🤣🤣🤣
Samia na kikwete walimteua biteko , bashungwa , Angelina Mabula , Makonda awamu iliyopita ili waunganishe nguvu ya kupambana na kundi la tatu 🤣🤣🤣
Hao viongozi wote , walitumika tu kama Condom 😆😆😆 sasa hivi hawana Nguvu tena na wamesambaratisha Kundi lao so samia na Kikwete wamewapiga chini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapa tunavoongea Kina makonda Na Bushiru wanapumulia machine , wapo ila muda wowote wanakaa benchi , hawana Impact tena baada ya kusaliti kundi lao .



